Kuhusu Sisi - E-Media Online Radio

Tujue zaidi E-media ni nani?

E-Media ni media ya mtandaoni inayolenga kukuletea burudani, habari na elimu kwa wakati, moja kwa moja kupitia intaneti. Tupo kwa ajili ya kuunganisha jamii kupitia sauti, video, picha, muziki na mijadala yenye tija.

Malengo Yetu

- Kutoa habari sahihi na kwa haraka.
- Kukuza vipaji vya muziki na sanaa.
- Kutoa elimu juu ya biashara, teknolojia na jamii.
- Kuburudisha wasikilizaji na watazamaji wetu kupitia vipindi na muziki bora.

Tunachofanya

Tunatangaza vipindi vya moja kwa moja, muziki wa aina mbalimbali, matangazo ya biashara, na pia tunashirikiana na wasanii na wadau ili kukuza tasnia ya habari na burudani nchini.

Maono Yetu

Kuwa kinara wa media ya mtandaoni barani Afrika, kwa kutoa huduma bora, ubunifu na maudhui yenye thamani kwa kila mtazamaji na msikilizaji wetu, huku tukikuza sanaa, elimu na maendeleo ya jamii.

“Tunatoa matangazo ya biashara kwa gharama nafuu"

Angalia bei hapa